Hongera sana Wanafunzi – Moving Tanzania

Moving Tanzania Graduation (9)

Hongera na pongezi nyingi kwa washiriki wa darasa la Storytelling, tunaamini mmpata nafasi ya kufahamu mambo ya muhimu kuhusiana na Tasnia ya filamu, ni muda mchache lakini wenye manufaa makubwa katika utendaji kazi wenu wa kila siku.

Kilimanjaro Film Institute inawapongeza kwa hatua mliochukua na kuamua kuingia darasani na kujifunza mbinu mpya za kuwa mshindani katika tasnia ya filamu.

Ni matumaini yetu mtafanyia kazi yale yote mliopata kwetu kwa kipindi hiki kifupi.

Karibuni sana Moving Tanzania chini ya Kilimanjaro Film Institute kwa mafunzo zaidi​.

Moving Tanzania Graduation (13) Moving Tanzania Graduation (12) Moving Tanzania Graduation (11) Moving Tanzania Graduation (10) Moving Tanzania Graduation (8) Moving Tanzania Graduation (7) Moving Tanzania Graduation (6) Moving Tanzania Graduation (3) Moving Tanzania Graduation (2) Moving Tanzania Graduation (1)