Moving Tanzania – Upcoming Classes

MT up coming classes 2

Kilimanjaro Film Institute​ ikishirkiana na Moving Tanzania​ inakuletea ratiba ya madarasa yatakayofuata,  ikiwa ni Camera technical 11-22 April 2016 na Creative media 9-20 May 2016 watu watano wa mwanzo kushiriki watapata punguzo, muda wa kuibadili tasnia ya filamu ni sasa kwa kijiongezea elimu na ujizi kutoka kwetu .