MCT Tuzo za Umahiri wa uandishi wa habari Tanzania 2015

EJATBaraza la Habari Tanzania (MCT) linakaribisha waandishi wa habari kuleta kazi zao zilizochapishwa kati ya Januari mosi na Disemba 31, 2015 kwa ajili ya kushindanishwa kwenye Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2015. Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha kazi yako ni Februari 16, 2016.

 Fomu ya kushiriki :

BONYEZA HAPA